Zabron Singers – Uko Single LYRICS – citiMuzik

“Uko Single” is a romantic love song perfect for wedding ceremonies. The sentence “Uko single” is translated into “Are you single?” In response, the lover affirms: “No, I am not single.
RELATED: Zabron Singers – Atafanya Kitu
As you can see, I have already found love and we are perfect for each other.” This song beautifully captures the essence of love and devotion and is therefore a fitting choice for the celebration of marriage.
Zabron Singers – Uko Single LYRICS
Ukisikia ni harusi tufurahi
Maana sio rahisi kumpata
Vigezo huwa ni vingi kububali
Mara mfupi mweusi, simtaki
Wengine sitaki mweupe
Mara mi nataka mweusi
Hamjui Mungu Sitaki
Vigezo kwa vigezo
Sasa nimeshapata wangu kipenzi
Kipenzi cha roho yangu
Ndio huyu hapa leo
Namtambulisha kwenu
Uko single? Hapana Nishampata Wangu
Yuko Wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana Keshampata guard
Yuko Wapi, Yuko Wapi? Ni mimi huoni twaendana
You’re single? Hapana Nishampata Wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
You’re single? Hapana Keshampata guard
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
Nishike mkono kipenzi
Kwangu wewe ndo kila kitu
Well Leo ndio siku Yetu
We mzuri kwangu
Kwa wazazi, ukapita
Moyo wangu ukapitisha
Well Pastor Amekubali
Tutunge ndoa Yetu
Ona twapendeza
Tukitembea pamoja
Tuimbe pamoja
Well tufurahi pamoja
Ona hata watu wote
Mekasanyika hapa
Kutuweka pamoja
Tuje tuishi pamoja
Uko single? Hapana Nishampata Wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana Keshampata guard
Yuko wapi, natuje leo? Ni mimi huoni twaendana
You’re single? Hapana Nishampata Wangu
Yuko Wapi? Huoni mzuri twaendana
You’re single? Hapana Keshampata guard
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
Also check out other titles from Zabron singer;