Ruby – Uridhike LYRICS Ft Mbosso – citiMuzik

“Uridhike“ is a romantic masterpiece for all couples. His mature lyrics reflect Ruby’s Inability to resist Mbosso, especially in an intimate setting. Known for his soulful ballads, Mbosso gives “Uridhike” a unique dimension. His vocal abilities harmonize seamlessly Ruby’s, weaving a rich web of emotions. Together they give the song depth and authenticity, creating a deeply moving experience for all listeners.
RELATED: Ruby – Konani Ft G Nako
Ruby – Uridhike LYRICS Ft Mbosso
Baby ooh, baby ooh
Ongeza sauti ya redio
Mwenzio mwenzio
Nataka nikiangushe kilio
Ata ukiplay sikinde sabufa lazima lishinde
Kiuno na mgongo ukipinde nakupa kisima kichimbe
Nifanye moyo ulidhike mpka jasho litiririke
Hujanita jina niitike wajibu wako uwajibike
Siwezi kukimbiza mwizi bila kupiga kelele
Gari ikifika mlandizi mnishushe nichume tembele
Ulidhike moyo ulidhike moyo baba
Ulishike moyo ulidhike moyo baba
Ulidhike moyo ulidhike moyo baba
Ulishike moyo ulidhike moyo baba
Aaaah iiiih moyo wanguu
Umenikaa kichwani mwilini umetapakaa
Penzi lavunja mizani tani kumi gari ya mkaa
Wapinge wapinge wenye maneno yakuchokonoa
Wasije wasije ngoma ya penzi wakaitoboa
Nimezidiwa nimezidiwa
Nilisombwa penzi maladhi natibiwa
Makoko matandu chapoko kisamvu
My Toto, my Wangu Wasikuibe Vishanduu
Ulidhike moyo ulidhike moyo baba
Ulishike moyo ulidhike moyo baba
Ulidhike moyo ulidhike moyo baba
Ulishike moyo ulidhike moyo baba
Uliposhika pabaya mwenzako naona haya
Umegusanisha nyaya umenilipua fire huna baya
Also check out other titles from Zuchu;