Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Amen LYRICS — citiMuzik

Amen“is a heartfelt prayer converted into a song, dedicated to seeking blessings from the Divine and wishing for prosperity, knowing that our faith remains unshakable even in the presence of opponents and skeptics.

RELATED: Diamond Platnumz – Dollars & Paris Ft Wouter Kellerman

Baba Levo Ft Diamond Platnumz – Amen LYRICS

Nainuaa Mikono Yangu
yay mikono yay

Amen, amen, amen
Baba Yetu Wambinguni (Amen)
Jina lako litukuzwe (Amen)
Utakalo lifanyike (Amen)
Dunian kama mbinguni (Amen)
Utupe Leo Ridhiki Zetu (Amen)
Utusamehe makosa Yetu (Amen)
Kama tunavyowasamehe waliotukosea
Eti kama tunavyowasamehe waliotukosea

Najiuliza, why Hawataki tuenjoy si tufurahi
Wakiona tunajidai wananuna kama vile wanatudai

Utupe majumba ya thamani (eeh baba)
Magari nane nane ndani (eeh baba)
Wake wazuri wakisom (eeh baba)
Ila wasuchit jamani (eeh baba)

Nainuaa mikono
Yangu Juu Mikono Juu
Eeh Baba

Kekekekekeke (eeeh baba)
Namuombea latifa lati titi
Well kesho nikifa awe sititi
Namajita Rafikiki
Wanangu wafaida navikiki
Vibunda vingi mfukoni
Tukifa Twende Peponi
Wanafki wote motoni wakaisome namba
Bariki molaa tupate pesa magari tele amen
Tuweze komesha hawa ngedere

Wanaiomba mvua kunyesha wambie you bado tunakesha
Nawanangu sakamapesa na mwaka huu tutawakomesha
Wanaiomba mvua kunyesha wambie you bado tunakesha
Watuombee dhiki nakuteswa you tunaiomba mipesa
Mama tumpeni pe jamni pe ai mipesa hiyo ona mipe
Tumwagie mipe jamni pe oya mipesa hiyo ona mipe
My goal is not to change anything
Mambo Yakunletea Ushauri Kwenye Bata Unanifanyia Makosa
My goal is not to change anything
Mambo yakunletea ushauri kwenye penzi una una….
Nainuaa Mikono Yangu Juu Mikono Juu

Eeeh Baba
Kekekekekek eeh Baba

Also check out other titles from Diamond plat number;

DevanCole

DevanCole is a Dailynationtoday U.S. News Reporter based in London. His focus is on U.S. politics and the environment. He has covered climate change extensively, as well as healthcare and crime. DevanCole joined Dailynationtoday in 2021 from the Daily Express and previously worked for Chemist and Druggist and the Jewish Chronicle. He is a graduate of Cambridge University. Languages: English. You can get in touch with me by emailing: devancole@dailynationtoday.com.

Related Articles

Back to top button